SARAH K LISEME SONG

Tuesday, December 27, 2011

AY NA MWANADADA STL NDANI YA COLLABO MOJA USIKU HUU

Usiku huu msanii AY kutoka Bongo na msanii Stella Mwangi aka STL kutoka Kenya wanatengeneza bonge moja la hit song. STL amekuja Bongo kwa kazi moja tu na msanii AY na akimaliza atarudi zake Kenya, wimbo huo unapikwa katika studio ya Lamar ikijulikana kama Fish Crab, AY amesema jina la wimbo kama bado halijapatikana ila utasound kama Mauaji ya Kutisha.

STL & AY

No comments:

Post a Comment