SARAH K LISEME SONG

Women Fashion


UNYWELE NI BALAAAAAA MNO


-------------------------------------------------
CHEEKS FASHION!! CHEEK FASHION!!

IMEDONDOSHA MZIGO MWINGINE MPYAAAAAA KWA LADIES.
MWAYA JISOGEZE KINONDONI MANYANYA, DAR MKABALA NA TOGO TOWER  KARIBU NA MAKABURINI

UTAWAKUTA LADIES NA WAMAMA WA MJINI WANAOPENDA KUPENDEZA WAKING"ANG"ANIA PAMBA BOMBA.

NJOO NA RAFIKI YAKO AKUSADIA KUCHAGUA PAMBA ZILIZOENDA SHULE.
KAMA ITAKUWA NGUMU KUPAJUA HAPO KINONDONI...PIGA SIMU +255 713 55 58 8 494 AU 
TUMA UJUME : villa_sarafina@yahoo.com..
NA SISI TUTAKUTAFUTA ULIPO

....CHEEKS FASHION INAKUSUBIRI.....


























































GRAPHIC DESIGNER: 
Rulea Sanga | www.rumaafrica.blogspot.com | rumatz2011@yahoo.com | 
+255 715 85 15  23
---------------------------------------------------
FASHION 4 FLOODS
Onesho maalum la mavazi kwaajili ya kuwachangia waathirika wa Mafuriko linataraji kufanyika Januari 12, 2012 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onesho hilo limeandaliwa kwa pamoja kati ya Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa na mbunifu Mashuhuri wa mavazi Tanzania, Mustafa Hassanali.

Kiingilio katika onesho hilo kitakuwa ni Tsh 50,000/= kwa VIP na Tsh 25,000/= viti vya kawaida huku ukitakiwa kuvalia kivazi chako cheuzi.
------------------------------------------------------------------------------
GAUNI BOMBA SANA

Mbunifu wa Mitindo,Manju Msita,anakutakia Kheri ya Mwaka Mpya.Kaa tayari kwa mahojiano ya kina kabisa kati yangu na Manju.Endapo wewe una ndoto ya kuwa mwanamitindo,nakuahidi hayo ndio mahojiano pekee utakayohitaji kuyasoma ili kupata upeo wa jinsi ya kuchanganua ndoto yako.

----------------------------------------------------


UNATAKA KUONEKANA STAR KWA MAVAZI BOMBA
Wasiliana na blog hii: www.nancyclassique.blogspot.com






























---------------------------------------------------------------------------

MAPIGO YANGU KAMA MAINDA SMALL BABY





RUMA FASHION
Wasiliana nasi kwa simu +255 715 85 15 23 au tembelea www.rumatz.com



No comments:

Post a Comment