SARAH K LISEME SONG

Location

FILAMU MPYA YA MKE MWEMA IKO JIKONI INAKAANGWA NA MAHANJUMATI..KAA MKAO WA KUANGALIA KATIKA LUNINGA YAKO
Filamu mpya iko jikoni inayoenda kwa jina la MKE MWEMA ambayo inazungumzia maisha ya wokovu katika mazingira ya kijijini.
Maeneo yaliyochukuliwa na hapahapa Tanzania, hii ni kujaribu kuonyesha utajiri  tulionao hapa Tanzania.
Mainda na Nyerere
mambo yakiwa yamepamba moto.
 kazi moja tu kuwa burudisha watanzania na kuwafundisha.
mainda akiendelea kufanya mapinduzi kwenye mke mwema
 JENGUA
Jengua na makonope nao walikuwepo
 masikini mainda mimba imemchosha
Steve akiwa mzigoni akiwajibika
Mainda na jimmy wakiwa wanandelea na kazi ya mke mwema
 nyerere akiwa na bidada wakifanya mambo.
mwanakombo,mainda,recho. wako makini na wanachokifanya
mainda na jimmy
mainda akiwa na swaiba wake steve nyerere.

mwanakombo mshiliki wa movie ya mke mwema akiwa anafurahia jambo

washiliki wa mke mwema wakiwa wanapata chakula ili mzingo uendelee kurecodiwa
Steve nyerere akiwa na mwanakombo wakipata chakula baada ya kazi
baada ya kazi nilikuwa napata picha na baadhi ya washiliki wa movie ya mke mwema
Mainda akiwa mzigoni
Kabuti onyango akiwa na Kupa
mainda akipata maelekezo kwa pm saguda
ulokole kidogo uliusika ktk hii movie