SARAH K LISEME SONG

Thursday, June 21, 2012

KATIKA KAZI RAZIMA KUWE NAMAADUI

Katika kazi yangu razima iwe na marafiki a maadui hinyo niko tayari  kuwapokea wote wala siogopi adui coz najua baba yangu wa mbinguni yupo upande wangu,hatoniacha adui anidhuru.

1 comment:

  1. Mungu ndio tegemeo lako sikuzote, hakuna asiloliweza. Maadui wapo sikuzote na hao ndio watakaokufanya unyanyuke juu.Wakiongea mabaya kuhusu wewe, zidisha bidii na fanya makubwa zaidi. All the best.

    ReplyDelete