SARAH K LISEME SONG

Wednesday, May 2, 2012

KAKORWA RAJABU MBANO NA ZEBIDA GODWIN WAMEREMETA

  Ndani ya ukumbi wa Istana maeneo ya Victoria kulikuwa na shughuli kubwa ya bwana Kakolwa Rajabu Mbano na Bi Zebida Godwin Fares walipowaalika wadau katika mnuso  baada ya ndoa yao iliyofanyika Sinza Africa sana.Harusi hiyo iliyohudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki na baadhi ya Wasanii wa Bongo Movie kumpa sapoti dada yetu Erieth anayehusika moja kwa moja na Bw Harusi kakolwa.Mnuso huo ulichangamka sana hasa baadhi ya Msanii wa Bongo Movie kutoa Burudani ya show,Hakika mnuso ulipendeza sana.HONGERA BWANA KAKOLWA KWA KUPATA JIKO

Bwana na Bi harusi wakiingia ukumbini




 Mc wa shughuli nzima ya harusi hiyo Mc chiki Mchoma akiwa kazini

 Bwana na Bi  harusi wakiwa mbele ya waalikwa kusalimia

Vicheko tuu

 Mzee Chumila akibadilishana mawazo na Steve Nyerere the power

 Jimmy Captain akiwa amefurahi sana na mwaliko aliopata nje ya nchi,hakika harusi ilipendeza

 Warembo wakiwa kwenye mapozi

 Bibie Recho akiwa kwenye pozi

 Dada yetu Erieth nikiwa nimepozi nae

 Nikiwa na Mc wa harusi Chiki Mchoma ambaye anajiandaa na safari ya Uingereza hivi karibuni

 Odama one nikiburudika

 Anaitwa Kupa,Msanii wa Filamu akiburudisha waalikwa kwa sebene la nguvu

 Steve Nyerere akiwa na Mzee Chumila katikati ya menu

Bwana na Bi harusi wakipata msosi

No comments:

Post a Comment