SARAH K LISEME SONG

Saturday, May 5, 2012


HAPPY BIRTHDAY YA MAMA LOLAA 
NYUMBANI KWAKE MBEZI

 Usiku wa kuamkia leo maeneo ya mbezi kulikuwa na bonge la party ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Mama Lolaa.Sherehe hiyo ya kuzaliwa ya Mama Lolaa ilihudhuriwa na Wasanii wa Bongo Movie.Ukiachana na Wasanii wa Bongo Movie,Marafiki na ndugu na Wazazi wa Familia ya Lolaa walikuwepo katika sherehe hiyo.Bila kusahau Bendi ya Muziki ya Shengen Academy iliporomosha burudani kali.Hakika sherehe ilipendeza sana na waaalikwa walipendeza sana.

 Mama Lolaa akipiga Cheeers juu na warembo  

       
  








Mr Lolaa Masai akimlisha keki mke wake kumtakia happy birthday

 Mama nae akirudisha mashambulizi kwa Baba

 JB na wema wakifungua shampagne

 Kulikuwa na Red Carpet

 Mama Lolaa akirudishwa kukaa na warembo

 Nyie mnatetea nini hapa

 Cloud12 akiwa katika pozi na Wema

 Nikiwa na Rachel tumekula pozi

 Wolper na Sandra

 Baby Madaha na Mama Lolaa

 Hartman na mabinti

 Mambo ya pozi hayo

 Ray Kigosi na Nyerere the power

 Ray na Wolper

 Cheni na Wema

 Jimmy Captain,Choa na Tinno

 Wazee wa Shengen wakiwajibika

 Ulifika ule muda wa mambo yetu maakuli

 Mainda smally baby akiwa kwenye menu

 Tukiwa katika foleni ya msosi

 Bonge la bwana katika Foleni ya menu

 Mhhhhhhhh kuna umbea hapa

 Odamaone katika mambo haya sitaki mchezo

 Muda wa menu

 Kipindi muhimu hiki bwana hakuna maneno

 Rachel akipata msosi

 Davina utamaliza chote hiko

 Wasanii wa Bongo Movie wakipiga picha na Familia ya Lolaa

Hakika shughuli ilikuwa nzuri sana na ilipendeza,Hongera Mama Lolaa nakutakia maisha marefu,Nasema HAPPY BIRTHDAY

No comments:

Post a Comment