SARAH K LISEME SONG

Saturday, May 5, 2012

DIAMOND KUSAIDIA KITUO CHA YATIMA-MAUNGA

 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiingia kituo cha kulea watoto yatima kiitwacho Maunga Center kilichopo karibu na kituo cha polisi cha Hananasif, Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kwenda kutoa msaada wa vyakula. Ambapo kituo hicho kina watoto wapatao 40.
Diamond akiwa amembeba mmoja ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Umati wa watu pamoja na watoto walioungana kumshuhudia Diamond. 


Diamond akishuka kwenye gari.
Baadhi ya mizigo ambayo ilitolewa kama msaada katika kituo hicho ikiwa bado haijashushwa kwenye gari.
Diamond akishauriana kitu na meneja kitu wake Joff.…

No comments:

Post a Comment