SARAH K LISEME SONG

Monday, May 7, 2012

AROBAINI YA MTOTO WA MAIMARTHA

 Kama kawaida ya sisi Waafrika mtoto anapofikisha siku arobaini baada ua kuzaliwa ufanyiwa party ya kumtoa nje mtoto, Maimartha ambaye ni mtangazaji wa television ya Taifa TBC alifanya hivyo wiki mbili zilizopita nimechelewa kuzipost kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wa lakini mambo yalikuwa hivi warembo wa Bongo Movie walipendeza sana kama kawaida yao

 Warembo wa Bongo Movie Odama wa kulia pamoja na Recheal wa Saguda

 Kabla ya kuingia ukumbini hapo warembo wa Bongo Movie walipata picha za kumbukumbu

 Watangazi wa TV Maimartha Jesse pamoja na Sauda Mwilima mtangazaji wa Staar Tv

 Auntie Ezeckiel naye alikuwepo

 Furaha zilitawala ukumbini

 Odama na Sandra




No comments:

Post a Comment