SARAH K LISEME SONG

Tuesday, February 14, 2012

FILAMU MPYA YA MKE MWEMA IKO JIKONI INAKAANGWA NA MAHANJUMATI..KAA MKAO WA KUANGALIA KATIKA LUNINGA YAKO
Filamu mpya iko jikoni inayoenda kwa jina la MKE MWEMA ambayo inazungumzia maisha ya wokovu katika mazingira ya kijijini.
Maeneo yaliyochukuliwa na hapahapa Tanzania, hii ni kujaribu kuonyesha utajiri  tulionao hapa Tanzania.
Mainda na Nyerere
mambo yakiwa yamepamba moto.
 kazi moja tu kuwa burudisha watanzania na kuwafundisha.
mainda akiendelea kufanya mapinduzi kwenye mke mwema
 JENGUA
Jengua na makonope nao walikuwepo
 masikini mainda mimba imemchosha
Steve akiwa mzigoni akiwajibika
Mainda na jimmy wakiwa wanandelea na kazi ya mke mwema
 nyerere akiwa na bidada wakifanya mambo.
mwanakombo,mainda,recho. wako makini na wanachokifanya

mainda akiwa na swaiba wake steve nyerere.
ulokole kidogo uliusika ktk hii movie

No comments:

Post a Comment