SARAH K LISEME SONG

Wednesday, February 8, 2012

KANUMBA APAKUWA FILAMU MPYA


...Akiwa na viongozi wa Policy Forum. Kushoto ni Mwenyekiti Mwenza Serikali za Mitaa wa Policy Forum, Hendroni Mwakagenda na ofisa mwingine wa taasisi hiyo, Alex Modest, wakiitambulisha filamu hiyo. 

...Akielezea muktadha wa filamu hiyo ambayo sehemu kubwa inahusu matukio yaliyochukuliwa vijijini. 

MCHEZA sinema maarufu nchini, Steven Kanumba, kwa kushirikiana na Taasisi ya Policy Forum wameandaa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Kijiji cha Tambua Haki.
Kanumba aliitambulisha rasmi leo filamu hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni mapema mwezi huu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment