SARAH K LISEME SONG

Thursday, January 12, 2012

HOYCE TEMU APATA STASHAHADA YA UCHUMI

Hoyce Temu akiwa na muhitimu mwenzake. 

Miss Tanzania namba 3 Cesilia Asseyi akitunikiwa cheti, 

……akitoka kutunikiwa cheti 

...Hoyce akitunikiwa cheti. 


...akitoka kupokea cheti chake 


....akiwa na mtoto wake kipenzi, Rubby 

Miss Tanzania 1998 Hoyce Temu, ambaye kwa hivi sasa anamiliki kipindi cha Mimi na Tanzania kinachorushwa kupitia runinga ya Channel Ten jana alipokea Stashahada ya Uzamili na Uchumi katika Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam. Mrembo mwingine ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania namba 3 ,2003 aliyetunukiwa cheti katika chuo hicho ni Cesilia Assey.


---------------------------------------------------------------------- -------------------------


TAMASHA KALI KATI LA MECHI 

Tarehe 28/01/2012 kutakuwa na MECHI kali baina ya watangazaji wa redio za gospel na waimbaji na maproducer wakipambana na BONGO MOVIE.

Endelea kufuatilia blogu hii kwa maelezo zaidi

No comments:

Post a Comment