SARAH K LISEME SONG

Sunday, January 1, 2012

MKESHA WA MWAKA MPYA 2012 UWANJA WA SAMORA

Baadhi ya viongozi wa serikali walioambatana na mgeni rasmi wakiwa wamesimama katika kuukaribisha mwaka mpya 2012.
Mkuu wa mkoa Iringa Akihutubia umati wa watu wliohudhuria katika mkesha wa mwaka mpya uwanja wa samora.

Umati wa watu uliohudhuria katika mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2012 uwanja wa samora mkoa wa Iringa.

1 comment:

  1. I real appreciate this blog, Dada ake uko juu hapo ni kupigilia msumari tu ili kuwa imara zaidi!
    Lazima wakubali matokeo.
    God bless u in 2012....

    ReplyDelete