SARAH K LISEME SONG

Saturday, January 21, 2012

HATIMAYE MKUTANO WA RAIS KIKWETE NA CHADEMA WAMALIZIKA KWA AMANI USIKU.

Rais Kikwete akiagana na Uongozi wa CHADEMA uliofika usiku huu Ikulu katika muendelezo wa mazungumzo ya mchakato wa katiba,kikao hicho kimeisha muda si mrefu.
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Uongozi wa CHADEMA mara baada ya kumaliza mkutano wao usiku huu Ikulu jijini Dar.
Rais Kikwete akiagana na Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr Slaa mara baada ya kumaliza mkutano wao Ikulu usiku huu jijini Dar.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment