SARAH K LISEME SONG

Monday, December 26, 2011

COCO BEACH YAJAWA NA WATEJA SIKU YA XMASS

Umati wa watu uliomwagika Coco Beach.
SHAMRA za Krismas zilitapakaa sehemu nyingi za jiji la Dar es Salaam ambapo Watanzania waliungana na Wakristo kusherehekea siku hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Kamera ya Global ilitembelea sehemu nyingi ili kuwajulisha wasomaji wetu burudani zilizokuwepo katika moja ya viwanja vya maraha.
‘Mwenye kupata apate, mwenye kukosa akose’ iliwavutia wengi.
Wototo na wazazi wao wakifurahia mabembea.

Michezo ya kubahatisha pia ilikuwepo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akitakiana heri ya Krismas na mwandishi wa kampuni hiyo, Erick Evarist, alipomtembelea nyumbani kwake Sinza-Mori.

No comments:

Post a Comment