Kanisa la Mt.Joseph makao makuu ya jimbo kuu la Dar es salaam.
Wakati wa misa
JUU;Kardinali Pengo akielekea kanisani kwa ajili ya kujiandaa na ibada ya misa akisindikizwa na paroko wa St Joseph Pd.Makubi na Paroko msaidizi Pd.Kigomba. CHINI; Wanakwaya wakiimba wakati wa misa
Waziri Membe akiwasili kanisani na akiwa katika ibada leo St.Joseph
Kardinali Pengo(mwenye kofia )na mapadri wakati wa misa
Baadhi ya umati wa waumini wakiwa katika misa takatifu
Matangazo haya mawili yamewekwa kanisani kwa sababu maalum
Kardinali Pengo akitoa mahubiri katika kiti cha askofu (cathedral) leo wakati wa misa ya krismass,alikosaidiwa na mapadri kadhaa wa jimbo kuu la Dar es salaam.
Mdau wa Mjengwablog
No comments:
Post a Comment