

Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsini akifurahia siku yake hiyo.

Haya tuimbe ume wimbo wetu maarufu wa Birthday...

Mdau wa Marekani akimlisha keki Da' Asia Idarous Khamsini.

Mdau akilishwa keki na mama Asia Idarous Khamsini























Hivi ndivyo Mambo yalivyokuwa ambapo baadae yaliangushwa magoma makali makali toka kwa wadau wa GrooveBack Nite chini ya Mkali Peter Moe.
No comments:
Post a Comment