SARAH K LISEME SONG

Showing posts with label mainda. Show all posts
Showing posts with label mainda. Show all posts

Thursday, April 12, 2012

MCHEZA FILAMU TANZANIA, VINCENT KIGOSI (RAY) THE GREATEST AMPA POLE MAMA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA (THE GREAT) NA KUONYESHA JINSI ALIVYOJISHUGHULISHA KATIKA SUALA LA KUMUWEKA MAHALI PA KUPUMZIKA MILELE RAFIKI YAKE
 Muda ulifika wa Mama Kanumba kuwasili uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere maana wakati mauti yanamfika mwanae alikuwa safarini Bukoba.Mama yangu mzazi(mwenye nguo nyeupe) ndiye aliyeongoza msafara wa kwenda kumpokea Mama Kanumba

 Kamati ya mapokezi ikimsubiri Mama Kanumba kuwasili.

 Muda ulifika na Mama akawasili na majonzi yakatawala.

Kilio na simanzi vilitawala uwanjani hapo(kulia) ndiye Mama yangu mzazi, Mama Mary Kigosi akimsaidia rafiki yake.

 Pole sana Mama kwa msiba mkubwa uliokupata ninakuwaidi nitakuwa pamoja nawe kwenye shida na raha

Mama alishindwa kabisa kuzuia hisia zake mpaka kuzimia.
 Njiani kuelekea msibani.

 Tukimsubiri Mama mzazi wa Marehemu Kanumba.

Baada ya kufika nikaenda kumpa pole,alilia sana aliponiona na kuniambia pacha wako mwanangu yuko wapi umebaki peke yako? Niliumia sana.

 Mazungumzo yakaendelea.

Akia kwa uchungu mkubwa sana. Pole mama.

 Kesho yake nikaenda kutafuta jeneza la kumzikia ndugu yetu mpendwa.

Hili ndilo jeneza aliozikiwa Marehemu Steven Kanumba.

 Baada ya kutoka kwenye majeneza nikaenda kuwachukua maskali kwa ajili ya postmortem

 Tukiendelea kusubiria.

Nikiwa nimeshamaliza hatua zote.

Friday, February 17, 2012

    WADADA WA BONGO MOVIE WALIPOKUTA PAMOJA MAMBO YALIKUWA POA SANA
                                                   jack na rose
                                                    rose na smallbaby
                                                      uwoya na davina
                                                                   jack
  1.                                                       smallbaby

Tuesday, February 14, 2012

FILAMU MPYA YA MKE MWEMA IKO JIKONI INAKAANGWA NA MAHANJUMATI..KAA MKAO WA KUANGALIA KATIKA LUNINGA YAKO
Filamu mpya iko jikoni inayoenda kwa jina la MKE MWEMA ambayo inazungumzia maisha ya wokovu katika mazingira ya kijijini.
Maeneo yaliyochukuliwa na hapahapa Tanzania, hii ni kujaribu kuonyesha utajiri  tulionao hapa Tanzania.
Mainda na Nyerere
mambo yakiwa yamepamba moto.
 kazi moja tu kuwa burudisha watanzania na kuwafundisha.
mainda akiendelea kufanya mapinduzi kwenye mke mwema
 JENGUA
Jengua na makonope nao walikuwepo
 masikini mainda mimba imemchosha
Steve akiwa mzigoni akiwajibika
Mainda na jimmy wakiwa wanandelea na kazi ya mke mwema
 nyerere akiwa na bidada wakifanya mambo.
mwanakombo,mainda,recho. wako makini na wanachokifanya

mainda akiwa na swaiba wake steve nyerere.
ulokole kidogo uliusika ktk hii movie

Monday, February 13, 2012

BONGO MOVIE NDANI YA TMES FM
Bongo Movie club juzi kati waliivamia Redio ya Time Fm na kufanya shoo ya nguvu sana watangazaji wetu walikuwa Masanja Mkandamizaji pamoja Steve Nyerere,Dhumuni lilikuwa ni kuwachangisha wadau wakubwa wa tasnia ya movie kwa ajili ya wenzetu waliopatwa na mafuriko makubwa pale Jangwani,tuliguswa sana na maafa hayo na ndio maana tukasukumwa kufanya jambo ilo kwani watu wengi wanaonunua kazi zetu ni watu wa hali chini sana kwa asilimia 70 kama sikosei,Sasa ni jukumu letu sisi kwarudisha shukrani zetu dhati kwa kujitolea kufanaya tukio ilo pia leo usikose kuja pale Uwanja mpya wa Taifa kuna mechi kali kati ya Bongo movie na Wanamuziki wa Dance kiingilio ni shilingi alfu mbili tu pesa zote zitazopatikana zitaenda kwa ndugu zetu waliopatwa na maafa hayo
Masanja akiwa kazini kuendesha zoezi ilo kulia Mkoloni mwanamuziki wa kizazi kipya kma mnakumbuka walikuwa na kundi lililokuwa likiitwa Wagosi wa Kaya
Mainda na Steve Nyerere

Mambo yakiendelea.....

Chopa Mchopanga naye alikuwepo katika zoezi ilo

Davina mrembo wa Bongo Movie

Mainda mwanadada machachari katika fani ya uigizizaji, Yeye ni mwanakamati mkuu katika swala zima la ushagiliaji pale Uwanja wa Taifa ni sipakukosa

Wanabongo Movie wakiwepo ndani ya mjengo wa Times Fm

 Dada Heriety Chumila mwanabongo movie, Yeye pia alipatwa na mafuriko na kupoteza kila kitu na kuanza upya naye alikuwepo kuwawakilisha wanzake wote waliopatwa na janga ilo

Karibu Uwanja wa Taifa kuona mechi kali .

Sunday, February 12, 2012

ONYESHO LA ORIGINAL COMEDY MAMIA WAFURIKA UWANJA WA KAITABA  

Mamia ya Watu walijitokeza kushuhudia Onyesho Maalumu linalofanywa na Wasanii wa Orginal Comedy la kuchangia Ujenzi wa kanisa la Evangelist Assemblies of God,lililopo Airport Nyamkazi Bukoba

Onyesho hili ni maalumu kwa ajili ya alambee ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa la (EAGT)lililopo Nyamkazi Bukoba.

Mpoki Bepari La Kihaya - mwarabu wa dubai (Rick Ross wa sasa)Kushoto,hapa kikubwa ni cha chini alichotupia msanii Macregan (kulia)  

Pozy la Msanii Wakuvanga aka Baba Andunje (kulia)ama kwa hakika jamaa hawa wapo vizuri katika hii fani.

Mh.Kamote Mkuu wa Wilaya kushoto na Mh. Anatory Aman Meya wa Manispaa ya Bukoba wakifatilia Onyesho kwa ukaribu.
Andunje aka Joti in Action.     

Mdau pichani ni Jeanifer Murungi Kichwabuta

Mdau Peter Matagi akiwa hana mbavu na swaggar za Msanii Masanja Mkandamizaji.  

Ukipenda unaweza kumuita Bebari la Kihaya jina halisi ni Mjuni Silvesta maarufu kama Mpoki wa Orginal Comedy akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kagera kufungua rasmi alambee ya Ujenzi wa Kanisa
  Msanii MACREGAN ukipenda unaweza kumuita Kipara aka (Shemeejiii) au mzee wa tuendeleeeeee akifanya mambo yake jukwaani.
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Massawe(kushoto) akifunguka juu ya kile anacho kitoa na kuashilia ufunguzi rasmi wa zoezi zima la uchangiaji wa Kanisa,Yeye binafsi ametoa kiasi cha sh laki tano(5000,000)na Ofisi ya Mkoa imetoa sh laki tano 
Msanii Masanja Mkandamizaji akiendeleza libeneke la alambee. 

Source: Bukoba wadau
----------------------