TWANGA PEPETA BADO KUMEKUCHA BILICANAS
Mnenguaji wa Bendi hiyo, Vicky (kulia mbele), akiongoza safu hiyo.
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’, usiku wa kuamkia leo imeendelea kufanya makamuzi yake ndani ya ukumbi wa Bilicans jijini Dar es Salaam kama kawaida.
Bendi hiyo ilionyesha uwezo wa hali ya juu kwa waimbaji wake na wanenguaji bila hata ya kujali pengo la mwanamuziki Charles Gabriel ‘Chalz Baba’ aliyejiengua.
-----------------------------------
Source; Mateja20
-----------------------------------
Source; Mateja20
No comments:
Post a Comment