SARAH K LISEME SONG

Saturday, January 21, 2012

NANI ZAIDI KATI YA JENNIFER NA SOPHIA?JE UNATAKA WAKUTANE KTK KAZI MOJA?

WAWEZA TOA MAONI KWA HAWA WATOTO WAWILI SOPHIAAMBAYE NDIYE ANATAMBA SANA KTK MOVIE YA BIG DADDY NA JENNIFER KTK THIS IS IT NA UNCLE JJ,NANI UNADHANI NI ZAIDI YA MWENZAKE???(hakikisha umetazama movie zao zote yaani big daddy na uncle jj au this is it
ndio utoe maoni yako)JE UTATAKA WAKUTANE KTK KAZI MOJA AU KILA MTOTO AENDELEE NA MOVIE KIVYAKE????karibuni....


SOPHIA KATIKA POZI a.k.a why..why...why????
SOPHIA akiwa na BIG DADDY/UNCLE JJ.
JENNIFER ktk pozi......
MOJA YA KAZI ALIZOFANYA JENNIFER ILIYOMPANDISHA.

No comments:

Post a Comment