MUNGU AKUPE NINI..HII NI BARAKA KUWA NA MAPACHA WATATU..ILA TUNAOMBA MSAADA MAANA MALEZI YAKE SIO MCHEZO
Maryam Ussi namba yake ni 0654336459, hakika anahitaji msaaada wa hali na mali kutokana na kubahatika kupata watoto watatu mapacha kwa wakati mmoja.watoto wanatumia maziwa LACTOGEN NO 2. yaani kwa siku anatumia kopo zima na linaisha.hatari......sasa huyu ana mapacha watatu na hana kazi ni mama wa nyumbani tuuuuuu!!!
HIVYO SHIME SHIME WADAU NAOMBA MUMSAIDIE MAMA HUYU MWENYE MAPACHA WATATU NAKUWASILIANA NAE MCHEKI KWENYE NAMBA 0654 336459 anahitaji maziwa pamoja na vitu vingine ambavyo ni muhimu kwa malezi ya watoto.
Watanzania wote na taaasisi mbali mbali husika tafadhali tunawaomba msaidieni huyu Mama.
Source: Michuzi
No comments:
Post a Comment