SARAH K LISEME SONG

Tuesday, January 10, 2012

MAWAZIRI WAKUU WALIOONGOZA KIPINDI CHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
9 Desemba 1961- 22 Januari 1962
Rashidi Mfalme Kawawa
22 Januari 1962 - 8 Desemba 1962
2 Machi 1972 - 13 Februari 1977
Edward Moringe Sokoine
13 Februari 1977 - 7 Novemba 1980 na 24 Februari 1983 - 12 April 1984
Salim Ahmed Salim
24 April 1984 - 5 Novemba 1985
Joseph Sinde Warioba
5 Novemba 1985 - 9 Novemba 1990
John Samwel Malecela
9 Novemba 1990 - 5 Desemba 1994
Cleopa David Msuya
7 Novemba 1980 - 24 Februari 1983
5 Desemba 1994 - 28 Novemba 1994

Fredrick Tluway Sumaye
28 Novemba 1995 - 29 Desemba 2005
Edward Ngoyai Lowasa
29 Desemba 2005 - 2008
Mizengo Peter Pinda
2008 hadi sasa

Imeandaliwana na kuletwa kwenu na timu nzima ya Kajunason Blog kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment