SARAH K LISEME SONG

Saturday, December 24, 2011

MAINDA AKIWA KATIKA MAPOZI NDANI YA HOTEL YA THE ATRIUMS -SINZA

Mainda a.k.a Mainda Small Baby ni mwingizaji mkubwa sana nchini Tanzania. Mainda ni dada anayependa sana kujichanganya na watu katika shida na raha. Pia hupenda sana kutembelea sehemu zenye mvuto na sehemu tulivu, na leo tutaona akiwa katika Hoteli kubwa sana jiji Dar es Salaam ya The Atriums iliyoko Sinza Afrikasana




---------------------------------------------------------------------------------------------

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MAFURIKO DAR
 Rais Jakaya Kikwete, akifunua moja ya kifaa kilichokuwa kimehifahia chakula kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika na mafuriko leo.
Baadhi ya wananchi wa maeneo ya Upanga walioathirika na mafuriko wakiwa katika foleni ya kusubiri mgao wa chakula.

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------
JIRUSHE NA TSHIRTS BOMBA ZA KIKRISTO KUTOKA KAMPUNI YA RUMA
RUMA ni kampuni inayojishugjulisha na utengenezaji wa Tshirts zenye ujumbe wa Mungu. Pia inajishughulisha na utengenezaji wa blogs, websites, graphic design, animations, mafundisho ya kompyuta, kuinua watu wenye vipaji na ambao hawana uwezo wa kujiendeleza..Na hii blog unayoaangalia imetengezwa na RUMA

Wasiliana nasi kwa simu 0715 851523, barua pepe rumatz2011@yahoo.com, tovuti: www.rumatz.com
Mkurugenzi wa kampuni ya RUMA, Rulea Sanga

BAADH YA TSHIRTS KUTOKA RUMA





-------------------------------------------------------------------------------------------------------------

EXTRA BONGO KUJIANDAA NA MKESHA WA MWAKA MPYA MEEDA


Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiimba jukwaani wakati wa onyesho lao lililofanyika Ukumbi wa San Cirro, Sinza jana.
Kiongozi wa Wanenguaji wa Bendi hiyo, Super Nyamwela, akiwaongoza wenzake kushambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo.

Rapa mahiri wa bendi hiyo, Saullo Fagason akicheza sambamba na wacheza shoo wa Bendi hiyo wakati wa shoo ya bendi hiyo kwenye Ukumbi wa Sun Cirro Sinza Dar es Salaam.
Wanenguaji wa bendi hiyo wakishambulia jukwaa.

MKURUGENZI wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Chocky aahidi kufatoa burudani ya pekee katika Mkesha wa Chrismas,jumamosi katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari Chocky amesema katika shoo hiyo patakuwa na ushindani wa pekee kati ya wanamuziki na wacheza shoo ambapo Mkurugenzi mwenyewe,Ally Chocky atapanda jukwaani kuchuana na Mwalimu wa walimu,Banza Stone kwa kutoa shoo na baaada ya hapo watahamia kwa wacheza shoo wa kike ambapo Mkongwe wa Dance, Aisha Mbegu atachuana na Otilia Boniphace (Kandoro).
Murugenzi alisema, katika onyesho hilo la Mkesha wa Chrismass wataporomosha nyimbo mpya ambazo wanarekodi katika kipindi hiki pamoja na kukumbushia nyimbo zilizotamba enzi hizo kama Fadhira kwa wazazi ya Rogath hega Katapila,Mwaka wa tabu na zinginezo
Wapenzi na mashabiki wa Bendi ya Extra Bongo wajitokeze kwa wingi kushuhudia mambo mapya ya Bendi yao na pia kukaa pamoja katika kukaribidsha kuzaliwa kwa Yesu Kristo yaani Chrismas
Bendi hiyo jumapili itaendelea na shoo katika Ukumbi wa Magereza yaani sikukuu yenyewe na juma lijalo itarejea katika ratiba yake ya kawaida.
Picha: Sufianimafoto Blog




No comments:

Post a Comment